Mi nashangaa, Nikielewa
Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa juu yako
Tena sauti yako baba yanizidia,
Sauti zote, ninazosikia X2
Yale umetenda baba (Tenda) Yote Ni makuu
Maana wayatenda (ammhh) kwa upendo
Yale unasema baba (Tenda) Yote ni kweli
Maana pia wayasema (ammhh) kwa upendo X2
Nimejipata, ndani ya upendo wako,
Umekua kwangu mapumziko
Neema yako yanitosha,
Nikiwa nawe mimi niko huru. X2
[chorus]
Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema , kwa upendo X2
Wewe ni Mungu mkuu,
Mfalme wa wafalme,
Muumba wa mbingu na nchi,
Heshima zote ni zako bwana,
Hakuna kama wewe
[chorus]
Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema , kwa upendo X2
No comments:
Post a Comment