LOVER LYRICS BY BAHATI
LOVER LYRICS BY BAHATI
Kama Ni Mapenzi nilishatafuta sana,
Kama ni kutosa nilishatosa kwa bana,
Kama Ni mapenzi nilishatafuta sana,
*omugwane wanje, songa wachinyimba ***
Ungekua nyimbo ningekucheza sana,
Ungekuwa zeze ningekucheza bana,
Ungekua nyimbo ningekucheza sana,bana,sana
[refrain]
You my lover , yeh, lover yeh ie ie.
You my lover , yeh, lover yeh ie ie.
You my lover , yeh, lover yeh ie ie.
l.o.v
Ungekua nyimbo ningekucheza sana,
Ungekuwa zeze ningekucheza bana,
Ungekua nyimbo ningekucheza sana,bana,sana
[Refrain]
Umekuwa baba kwangu [l.o.v]
Roho mtakatifu, [l.o.v]
Nautanashati ukanipa kimwana
Nayo mashairi ndani yangu ukajaza.
Umekuwa baba kwangu , [l.o.v]
Roho mtakatifu, [l.o.v]Yote pokea sifa moyoni umefanya,
Maulana si kawaida kenya wakanidata,
Yote pokea sifa moyoni umefanya,
Najua Africa Mtoto wa mama atasikika.
No comments:
Post a Comment