Tuesday, 21 July 2015

christina shusho ONGOZA HATUA ZANGU (official video)

Solomon Mukubwa Nisamehe Official video

Friday, 3 July 2015

BWANA UMEINULIWA FAITH MBUGUA

Bwana, Umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi

Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2

Maserafi, wako mbele zako mungu,uuh, wazikabithi, heshima zako mbele zako

Wanalia , mtakatifu ni wewe mungu, uuh mtakatifu,mtakatifu ni wewe mungu

Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2

Makerubi,pia  wako mbele zako,ooh, hata nao, wazikabithi heshima zao

wanazivua, taji zao za dhahabu , uuh wakiinama, mtakatifu ni wewe mungu.

Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2

wazee wale ishirini na wanne, eeh, hata nao wazikabidhi heshima zao,

wanainama, mtakatifu ni wewe mungu, uuh, mtakatifu, mtakatifu ni wewe mungu.

 Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2

Viumbe wale walio hai, iih, hata nao wazikabithi heshima zao.

wapeperusha, mabawa yao mbele zako,ooh, wajifunika, mtakatifu ni wewe mungu

Bwana, Umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2

Nafsi yangu, naiinua mbele zako,ooh, naungamana, na hilo jeshi la mbinguni,

mataifa yote nayo yajue, eeh , ya kwamba wewe, wewe mungu ni mtakatifu

Bwana, Umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X3

Friday, 26 June 2015

NGASABELE LYRICS BY SPIRIT OF PRAISE

NGASABELE LYRICS BY SPIRIT OF PRAISE 5 ft VICKY VALAKAZI

Ngiya kuzwa njalo Jesu (I heard you always Jesus)

Ngizwa Izwi lakho (I heard your Voice)

Ningi biza njalo njalo (Calling me always)

Lithi woza kimi (Saying come to me)

Choir:

Ngiya kuzwa njalo Jesu (I heard you always Jesus)

Ngizwa Izwi lakho (I heard your Voice)

Ningi biza njalo njalo (Calling me always)

Lithi woza kimi (Saying come to me)

Lead:

Ngasabela (I respond)

Ngasondela (I am approaching you)

Ngasabela (I respond) 

Ngasondela (I am approaching you)

Baba ngi zwa izwi lakho (Father i heard your Voice)

Ngasabela (i respond)  

[Lead:]

Baba ngi zwa izwi lakho (Father i heard your Voice)

[Choir:]

Ngasabela (I respond)

Choir: 

Baba ngi zwa izwi lakho (Father i heard your Voice)

Ngasabela (I respond)   X4

Lead:

Baba ngi zwa izwi lakho (Father i heard your Voice)

Ngasabela (i respond), Ngasabela (i respond), Ngasabela (i respond)  X4

Baba ngi zwa (Father i heard your Voice) X3

Choir: 

Baba ngi zwa izwi lakho (Father i heard your Voice)

Ngasabela (i respond)

NALILIA UZIMA LYRICS AIC SHINYANGA CHOIR

NALILIA UZIMA LYRICS AIC SHINYANGA CHOIR

Nalilia uzima, kutoka kwa Bwana

Ili nikaishi naye katika uzima,

Uzima wa milele

Shetani anaulilia uzima wangu mimi,

Anisukumia mawimbi ya kila haina

Na mateso makali X2

Anitisha ili nisimuone Bwana

Lakini nimejitoa ,  Kwa bwana kwa moyo wangu wote

Liwalo na liwe

Asukuma silaha za maangamizi, eti anisambaze,

bwana wangu kaniwekea walinzi,

Najivuna kwa bwana.  X2

Shetani hana nafasi,

kwangu mimi moyoni mwangu

yesu atawala , uzima wangu, niliopewa na bwana X2

Uzima wangu ni wa dhamani,

gharama yake kifo chake yesu,

dhamani yake ni damu yake,

bwana yesu msalabani. X2

Yesu ni nuru  moyoni mwangu,

yesu ni uzima wangu,

yesu ni ushindi , namtegemea yeye katika kila jambo,

siogopi kitu , bwana ni ngome yangu,

sibabaishwi kitu. X2

Nalilia uzima, kutoka kwa Bwana

Ili nikaishi naye katika uzima,

Uzima wa milele

Shetani anaulilia uzima wangu mimi,

Anisukumia mawimbi ya kila haina

Na mateso makali X2

yesu, u-natosha, u-natosha, wewe peke yako

shetani, u-shindwe, u-shindwe, kwa jina la yesu  X2

Anitisha ili nisimuone Bwana

Lakini nimejitoa ,  Kwa bwana kwa moyo wangu wote

Liwalo na liwe

Asukuma silaha za maangamizi, eti anisambaze,

bwana wangu kaniwekea walinzi,

Najivuna kwa bwana.  X2

MATAIFA YOTE LYRICS BY SARAH K SWAHILI WORSHIP

MATAIFA YOTE LYRICS BY SARAH K - SWAHILI WORSHIP

Mataifa yote, yanakufahamu (All nations, know You)

Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa (That You are an undefeatable God)

Mataifa yote, yanakufahamu (All nations, know You)

Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa (That You are an undefeatable God)

Chorus:

Usiyeshindwa, usiyeshindwa (Undefeatable, undefeatable)

Wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an undefeatable God) 

Usiyeshindwa, usiyeshindwa (Undefeatable, undefeatable)
Wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an undefeatable God) 

Makabila yote, yanakufahamu (Every tribe knows You)

Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an undefeatable God) 

Usiyeshindwa, usiyeshindwa (Undefeatable, undefeatable)Wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an undefeatable God)

Na kanisa lako, linakufahamu (And your Church, knows that)

Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an undefeatable God)

Na kanisa lako, linakufahamu (And your Church, knows that)

Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an undefeatable God)

WEWE NI ZAIDI BY ERIC SMITH

Mi nashangaa, Nikielewa

Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa juu yako

Tena sauti yako baba yanizidia,

Sauti zote, ninazosikia X2

Yale umetenda baba (Tenda) Yote Ni makuu

Maana wayatenda (ammhh) kwa upendo

Yale unasema baba (Tenda) Yote ni kweli

Maana pia wayasema (ammhh) kwa upendo X2

Nimejipata, ndani ya upendo wako,

Umekua kwangu mapumziko

Neema yako yanitosha,

Nikiwa nawe mimi niko huru. X2

[chorus]

Yale umetenda baba  Yote Ni makuu

Maana wayatenda  kwa upendo

Yale unasema baba  Yote ni kweli

Maana pia wayasema , kwa upendo X2

Wewe ni Mungu mkuu,

Mfalme wa wafalme,

Muumba wa mbingu na nchi,

Heshima zote ni zako bwana,

Hakuna kama wewe

[chorus]

Yale umetenda baba  Yote Ni makuu

Maana wayatenda  kwa upendo

Yale unasema baba  Yote ni kweli

Maana pia wayasema , kwa upendo X2